Swali: Kuna wanaosema kuwa kujitenga na vyombo vya mawasiliano vyote ni kupetuka mipaka. Mtu aseme juu ya hilo?

Jibu: Kupetuka mipaka kumefungamana na dini, na sio katika vitu vyenye kutengenezwa na uvumbuzi. Kupetuka mipaka kumefungamana na dini. Vitu hivi sio katika dini. Mwenye kujiepusha navyo haizingatiwa kuwa ameacha kitu katika dini.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (35) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighasah%20%20-%2017-%2010-1436.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017