Vitabu vya dini visivyotumiwa vinafanywa nini?

Swali: Qur-aan na vitabu vilivyochanikachanika na ambavyo havitumiwi vinafanywa nini?

Jibu: Kurasa za Qur-aan na vitabu vyenye kuheshimiwa ambavyo ndani yake mna utajo wa Allaah au Hadiyth za Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni sawa kuvifukia sehemu ambapo ni pasafi au kuvichoma moto.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (4/100-101)
  • Imechapishwa: 22/08/2020