Swali: Je, maradhi haya yanayoenea ni udhuru sahihi wenye kuwafanya watu kutohudhuria swalah ya mkusanyiko na swalah ya ijumaa?

Jibu: Hapana, sio udhuru. Watu wanatakiwa kuswali na wamwombe Allaah (´Azza wa Jall) awaondoshee majanga. Pengine swalah ikawa ni sababu ya kuwafanya Allaah akawaondoshea majanga kutoka kwao.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=rvZgmJ-Ma4E
  • Imechapishwa: 01/03/2020