Swali: Vipi mtu atajua ni nani anayelingania katika upotevu?
Jibu: Mtu atazame Da´wah yao. Ikiwa wanalingania katika haki, ni walinganizi wa kheri. Ikiwa wanalingania katika batili, ni walinganizi wa upotevu. Ikiwa wanalingania katika Bid´ah, shirki na maasi, hawa ni katika walinganizi wa upotevu.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13829
- Imechapishwa: 20/09/2020