Vipi Kutangamana Na Mtu Suufiy?


Swali: Tutangamane vipi na Suufiy?

Jibu: Kwa kumlingania katika dini ya Allaah na kumbainishia. Asipoelekea tunaachana nae, tunajitenga mbali nae na tunamzingatia ni katika watu wa Bid´ah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Furqaan (13) http://alfawzan.af.org.sa/node/2056
  • Imechapishwa: 14/04/2017