Vipi kukidhi swalah iliyompita mtu katika hali ya usafiri?


Swali: Msafiri akipitwa na swalah au akaisahau ni vipi atailipa baada ya kurudi katika mji wake; ailipe kwa kufupisha au kwa kukamilisha?

Jibu: Hapana, ailipe kwa kukamilisha[1]. Safari imeisha kwa kurudi katika mji wake. Alipe kikamilifu swalah aliyoiacha kwa kusahau.

[1] Tazama http://firqatunnajia.com/afupishe-au-akamilishe-msafiri-aliyefika-katika-mji-wake-na-hajaswali/ 

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14020
  • Imechapishwa: 22/04/2018