Vipi Allaah Anataka Kuitwaharisha Familia Ya Mtume?


Swali: Ni matakwa yepi yanayokusudiwa katika Kauli ya Allaah (Ta´ala):

إِنَّمَا يُرِيدُ اللَّـهُ لِيُذْهِبَ عَنكُمُ الرِّجْسَ أَهْلَ الْبَيْتِ وَيُطَهِّرَكُمْ تَطْهِيرًا

“Hakika Allaah Anataka Akuondosheeni uchafu, enyi watu wa nyumba [ya Mtume], na Akutwaharisheni mtwaharike barabara.”? (33:33)

Jibu: Hapana, ni kosa. Matakwa hapa ni ya Kishari´ah:

يُرِيدُ اللَّـهُ أَن يُخَفِّفَ عَنكُمْ ۚ وَخُلِقَ الْإِنسَانُ ضَعِيفًا

“Allaah Anataka kukukhafifishieni (tabu zenu); kwani insani ameumbwa dhaifu.” (04:28)

Ni matakwa ya Kishari´ah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (06) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/qir--14340127.mp3
  • Imechapishwa: 17/06/2015