Swali: Ni lipi bora kwa mtu kukaa katika vikao vya wanachuoni au kusoma Qur-aan tukufu?

Jibu: Akusanye kati ya yote mawili. Ahudhurie darsa na vikao vya elimu na asome Qur-aan katika wakati mwingine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (91) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-22-7-1439.mp3
  • Imechapishwa: 17/08/2018