Vidonge dhidi ya hedhi kwa ajili ya kuhiji

Swali: Inajuzu kwa mwanamke kutumia vidonge vinavyochelewesha au kuzuia kabisa hedhi wakati anapotaka kufanya hajj au ´umrah?

Jibu: Hakuna neno kufanya hivo kwa sharti awashauri madaktari. Pengine tembe hizi zinamdhuru katika mustakabali wake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (105) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/20-03-1441-H-%20igah.mp3
  • Imechapishwa: 27/11/2020