Vichinjwa vya miji ya Kiislamu ambayo imejaa ushirikina

Swali: Inajuzu kula vichinjwa vya ile miji ambayo inaabudu makaburi kwa kujengea msingi kwamba ni nchi ya Kiislamu au mtu anatakiwa kuuliza kwanza? Kama mfano wa Misri na Pakistan.

Jibu: [… Sauti haiko wazi… ] Ikiwa anamjua yule mwenye nayo hakuna haja ya kuuliza. Ama ikiwa hamjui hakuna ubaya kuuliza.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat (01) http://ajurry.com/safrawy/chorohat-elakida/charh-kachef-chobohat/charh-ibn-baz/01.mp3
  • Imechapishwa: 07/06/2019