Swali: Baadhi ya watu wanasema kwamba vicheni vya mikononi vya wanaume ni kama kuvaa pete za wanaume.

Jibu: Si kweli. Wanawake tu ndio wanaoruhusiwa kuvaa vicheni vya mikononi. Kuhusu pete zinavaliwa na wanaume  na wanawake. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alivaa pete.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (81) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%B4%D8%B1%D8%AD%20%D9%81%D8%AA%D8%AD%20%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%AC%D9%8A%D8%AF%20-24-07-1439%20%D9%87%D9%80.lite_.mp3
  • Imechapishwa: 26/10/2018