Swali: Sisi tunavaa viatu vyenye kutoka katika miji ya makafiri bila ya kujua kuwa mnyama alichinjwa au hakuchinjwa. Ni ipi hukumu ya viatu hivi?

Jibu: Msingi ni kuruhusu mpaka pale utapojua kuwa ni kutoka katika mnyama maiti. Katika hali hiyo usivitumii. Lakini maadamu hujui, basi msingi ni kuruhusu – usijitilie uzito.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdah–14340316.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020