Uwindaji wa usiku


Ahmad aliulizwa kuhusu uwindani wa usiku ambapo akajibu:

“Sijui kama kuna Hadiyth iliyothibiti juu ya masuala hayo.”[1]

[1] Ibn Qudaamah amesema:

”Ahmad amesema: ”Uwindaji wa usiku hauna neno.”… Yaziyd bin Haaruun amesema: ”Sijui kama kuna yeyote anayechukiza uwindaji wa usiku.” Yahyaa bin Ma´iyn amesema: ”Haina neno.” (al-Mughniy (9/381)

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Abiy Harb al-Jarjaara’iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad, uk. 93
  • Imechapishwa: 17/03/2021