Swali: Tumejifunza ya kwamba kumwambia “Yaarhamka Allaah” mwenye kupiga chafya ni faradhi kwa baadhi ya watu, je, ni wajibu kumsikilizisha “Yaarhamka Allaah”?
Jibu: Ndio, msikilizishe ili na yeye aweze kukurudishia kwa kusema “Yahadiykumu Allaah wa yuswlih baalakum”.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (34) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-11-02.mp3
- Imechapishwa: 15/11/2014