Uwajibu wa kumtakia mtu rahmah kwa sauti anapopiga chafya


Swali: Tumejifunza ya kwamba kumwambia “Yaarhamka Allaah” mwenye kupiga chafya ni faradhi kwa baadhi ya watu, je, ni wajibu kumsikilizisha “Yaarhamka Allaah”?

Jibu: Ndio, msikilizishe ili na yeye aweze kukurudishia kwa kusema “Yahadiykumu Allaah wa yuswlih baalakum”.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (34) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-11-02.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014