Swali: Ni vipi mtu ananuia kufunga Ramadhaan? Kule kutambua kuingia kwa Ramadhaan kunatosheleza kufunga masiku mengine yote?

Jibu: Kunuia kunakuwa kwa mtu kuazimia kufunga. Ni wajibu kila usiku mtu alale na nia ya kufunga Ramadhaan.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (10/246)
  • Imechapishwa: 10/06/2017