Uwajibu Wa Kuchukua Uraia Wa Nchi Ya Kiislamu

Swali: Mtu aliye na uraia wa nchi ya kikafiri ni lazima kwake kuacha uraia huo na achukue uraia wa nchi yake ikiwa ni wa kiarabu au wa Kiislamu?

Jibu: Ikiwa waislamu wanampa uraia, auchukue kutoka kwa waislamu na ajinasibishe na nchi hiyo ya Kiislamu. Ama makafiri asichukue uraia wao. Haijuzu kufanya hivo. Hata hivyo achukue ruhusa ya kueshi, haina neno. Achukue ruhusa ya kueshi na si uraia kwa sababu akichukua uraia wao hukumu zao zitamgusa na yeye na anakuwa ni katika watu wa nchi yao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (35) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid%20-%208%20-%201%20-%201437.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017