Uwajibu wa kila mtu kuitafuta haki na kuitendea kazi

Ni wajibu kwa mtu kushikamana na haki na kutafuta yenye kusapotiwa na Qur-aan na Sunnah na halafu ayatendee kazi. Vilevile atendee kazi waliyohakikisha Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah katika yale yaliyochukuliwa kutoka katika Kitabu cha Allaah na Sunnah za Mtume Wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajhiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Hidaayah ar-Rabbaaniyyah fiy Sharh al-´Aqiydah at-Twahaawiyyah (01/218)
  • Imechapishwa: 30/05/2020