Uuzaji wa manukato yaliyo na alcohol


Swali: Ni ipi hukumu ya kuuza makunato yaliyo na alcohol?

Jibu: Ikithibiti kuwa yana alcohol haijuzu kuyauza. Ama ikiwa ni uvumi tu, hauzingatiwi. Msingi ni kwamba kila kitu kinaruhusiwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (62) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20Majd14-07-%201438.mp3
  • Imechapishwa: 06/08/2017