Swali: Mimi natokea Ufaransa na nataka kufungua duka linalouza marashi ya wanaume na ya wanawake. Je, mimi nina jukumu juu ya wale wanawake wataonunua manukato na wanayatumia nje ya nyumbani? Je, ni wajibu kwangu kuandika ilani juu ya kwamba ni haramu kwa wanawake?

Jibu: Kamwe. Wauzie manukato wanaume na wanawake. Wanawake ndio wenye jukumu wakiyatumia vibaya. Wewe si mwenye jukumu juu ya utumiaji.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (87) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86%20%D9%85%D9%86%20%D9%85%D8%B5%D8%A7%D9%8A%D8%AF%20%D8%A7%D9%84%D8%B4%D9%8A%D8%B7%D8%A7%D9%86-01-07-1439.lite__0.mp3
  • Imechapishwa: 08/10/2018