Swali: Ni ipi hukumu ya kufanya tamthiliya ya Malaika na Mitume (Swalla Allaahu ´alayhim wa sallam)?
Jibu: Haijuzu. Imekatazwa. Haijuzu kufanya tamthiliya ya Malaika wala Mitume (Swalla Allaahu ´alayhim wa sallam). Huku ni kuwatweza na kuwachezea shere.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (70) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighatsah%20-%2019%20-0%207%20-%201438.mp3
- Imechapishwa: 27/08/2017