Swali: Mtu anayeishi katika mji amtii mtawala wa nchi anayotoka au mji aliyopo?
Jibu: Wakati mtu anaishi kwenye mji wa kikafiri kutoka na sababu sahihi, asitoke nje ya nidhamu za nchi. Ahakikishe anamtii Allaah na Mtume Wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na asiende kinyume na nchi ile ili asende kinyume na sheria ya nchi kwa gharama ya mkono wake mwenyewe. Pasina kujali ni wapi Muislamu yuko anatakiwa kuwa ni kiigizo chema katika kheri na si shari.
- Mhusika: ´Allaamah Swaalih bin Muhammad al-Luhaydaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Muhadhara: Haqiyqat-ul-Bay´ah fiyl-Islaam wa Bayaan Shuruwtihaa wa Khatwar Naz´ihaa
- Imechapishwa: 05/09/2020
Swali: Mtu anayeishi katika mji amtii mtawala wa nchi anayotoka au mji aliyopo?
Jibu: Wakati mtu anaishi kwenye mji wa kikafiri kutoka na sababu sahihi, asitoke nje ya nidhamu za nchi. Ahakikishe anamtii Allaah na Mtume Wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na asiende kinyume na nchi ile ili asende kinyume na sheria ya nchi kwa gharama ya mkono wake mwenyewe. Pasina kujali ni wapi Muislamu yuko anatakiwa kuwa ni kiigizo chema katika kheri na si shari.
Mhusika: ´Allaamah Swaalih bin Muhammad al-Luhaydaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Muhadhara: Haqiyqat-ul-Bay´ah fiyl-Islaam wa Bayaan Shuruwtihaa wa Khatwar Naz´ihaa
Imechapishwa: 05/09/2020
https://firqatunnajia.com/utiifu-kwa-kiongozi-katika-mji-wa-kikafiri/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)