Utamkwaji wa nia zote ni Bid´ah


Nia mahali pake ni moyoni. Kuitamka ni Bid´ah. [Baadhi wanasema]:

“Ee Allaah! Hakika mimi nimenuia kuswali Dhuhr Rak´ah nne nyuma ya imamu huyu.”

Haya ni uzushi. Hayana msingi. Wakati wa kutawadha wanasema:

“Ee Allaah! Hakika mimi nimenuia kutawadha kwa ajili ya swalah kadhaa na kadhaa.”

Haikupolewa kutamka nia mwanzoni mwa kila ´ibaadah. Hakuna ´ibaadah yoyote. Kutamka nia ni Bid´ah. Nia mahali pake ni moyoni.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (33) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20-%2023%20-%201%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 07/03/2021