Swali: Ni ipi hukumu ya kufanya kazi katika mashirika na makampuni ambayo yanaboresha na kutengeneza masanamu na athari za kihistoria kwa ajili ya kuwaonyesha watalii na wengineo?

Jibu: Huu ni utalii wa kishirki. Haijuzu. Haya hayatakiwi kuwa katika miji ya waislamu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (91) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-22-7-1439.mp3
  • Imechapishwa: 31/07/2018