Utabiri wa hali ya hewa ni hesabu zinazoruhusu


Swali: Ni haramu kufuatilia utabiri wa hali ya hewa? Inazingatiwa ni katika uchawi na uanajimu kuhesabu hali ya hewa kupitia nyota?

Jibu: Hii ni miongoni mwa hesabu zinazoruhusu. Kuwa na utambuzi wa utabiri wa hali ya hewa imeruhusiwa. Allaah amefanya mwezi, jua na nyota kunufaika navyo kwa ajili ya hesabu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (61) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid-%2029%20-0%206-1438.mp3
  • Imechapishwa: 06/08/2017