Swali: Je, inafaa kwa mwanamke wa Kiislamu kuvaa mavazi ya kubana mbele ya dada zake na Mahaarim zake katika wanawake?

Jibu: Haifai kwake kufanya hivyo. Kwa sababu atakuwa ni mfano mbaya kwao na kwa wengine. Ni lazima kwake kujiheshimisha na mavazi yenye kusitiri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18359
  • Imechapishwa: 10/07/2020