Usiwatembelee ndugu kama hawa


Swali: Naogopa kuwatembelea ndugu zangu wasije kuniroga. Ni vipi nitailinda nafsi yangu kabla ya kwenda kuwatembelea?

Jibu: Usende kwao. Ikiwa wanafanya uchawi usende kwao. Achana nao. [Sauti haiko wazi]

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (71) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah26-07-1438h%20-%20Copy.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2017