Swali: Inajuzu kwangu kufungua mgawaha pamoja na kujua ya kwamba ndani ya mgahawa huu wataingia pia wanawake wenye kuvaa vibaya na kutakuwa na mchanganyiko kati ya wanaume na wanawake?
Jibu: Usiwaruhusu. Usiwaache wakaingia mgahawani. Wakataze. Weka ilani inayowakataza.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (86) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/NEW.lite_.mp3
- Imechapishwa: 02/07/2018