Swali: Hapa kwetu wanakufa baadhi ya watu ambao tunajua kuwa hawaswali. Je, tumjuze imamu juu ya jambo hilo kwamba wasiswalie wanapokufa?

Jibu: Hapana. Wewe usimswalie. Usiwaambie watu wasimswalie.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (15) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-24-11-1434_0.mp3
  • Imechapishwa: 31/08/2019