Usiswali Nyuma Ya Khawaarij Na Ahl-ul-Bid´ah


Swali: Libya ISIS imechukua utawala kwenye mji fulani na misikiti yake mingi. Je, swalah nyuma yao ni sahihi ikiwa mtu anaonelea kuwakufurisha Khawaarij?
Jibu: Sio sahihi kuswali nyuma ya Khawaarij na wengine wenye kwenda kinyume na Ahl-us-Sunnah. Swali na Ahl-us-Sunnah kwenye miskiti yenye kusimamiwa na Ahl-us-Sunnah.
  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=153184
  • Imechapishwa: 07/02/2017