Swali: Niliswali nyuma ya imamu na kisha baadae nikabainikiwa ya kwamba anafuata madhehebu ya Ash´ariy. Je, ni lazima kurudi swalah yangu?

Jibu: Hapana, sio wajibu kurudi swalah yako. Lakini wakati mwingine nenda kwa imamu asiyekuwa Ash´ariyyah. Nenda kwa imamu katika Ahl-us-Sunnah. Uliyotangulia kuswali ni sahihi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (32) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-10-16.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2020