Usisherehekei wala kula chakula cha Maulidi


Swali: Ni ipi hukumu ya kuhudhuria sherehe ambazo kunafanywa Maulidi na kula katika chakula cha Maulidini?

Jibu: Kusherehekea Maulidi ni Bid´ah. Haijuzu kuhudhuria. Haijuzu kuhudhuria hafla za Maulidi wala kula chakula chake. Kwa kuwa huku ni kukubaliana nao na ni kushirikiana katika dhambi na uadui.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13980
  • Imechapishwa: 03/04/2018