Usimwache mkeo kwenda katika ndoa za nyimbo na muziki

Swali: Baadhi ya ndoa yule ambaye anamfikisha mke wake pale kunapofanyika ndoa hiyo anasikia sauti ya muziki na nyimbo. Je, anapata dhambi akimwacha mke wake kwenda katika ndoa hiyo?

Jibu: Ikiwa wako na muziki au pumbao nyenginezo basi haifai kwenda kwao. Lakini ikiwa ni dufu linalopigwa na wanawake peke yao basi hakuna ubaya. Kuhusu muziki, ngoma au vyenginevyo vya haramu vinatakiwa kukemewa.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawa-ud-Duruus https://binbaz.org.sa/fatwas/6356/%D8%AD%D9%83%D9%85-%D8%A7%D9%84%D8%B0%D9%87%D8%A7%D8%A8-%D9%84%D8%AD%D9%81%D9%84%D8%A7%D8%AA-%D8%B2%D9%88%D8%A7%D8%AC-%D8%A8%D9%87%D8%A7-%D8%A7%D8%BA%D8%A7%D9%86-%D9%88%D9%85%D9%88%D8%B3%D9%8A%D9%82%D9%89
  • Imechapishwa: 19/12/2020