Usimuoe mwanamke mpaka aache kufanya kazi


Swali: Mposaji anaweza kumuomba mwanamke ambaye anataka kumposa kuacha kufanya kazi?

Jibu: Mposaji hana usimamizi wowote juu yake. Hata hivyo, asimuoe ikiwa kama anafanya kazi nje ya nyumbani. Haijuzu kwako kumposa na kumuoa ikiwa anfanya kazi nje ya nyumbani kwake.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Silsilat-ul-Hudaa wan-Nuur (174)
  • Imechapishwa: 21/09/2020