Usimtii mzazi anayekuamrisha kutovaa Hijaab


Swali: Inafaa kumtii baba anapoamrisha kuacha kuvaa Hijaab au ni wajibu kumuasi katika hilo?

Jibu: Ndio. Haijuzu kumtii katika maovu. Huyu ni baba muovu na ulinzi unaombwa kutoka kwa Allaah. Haijuzu kumtii katika hili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (88) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/igahssat.mp3
  • Imechapishwa: 18/09/2018