Usikate kizazi kwa sababu za kidunia

Swali: Kati yangu mimi na ndugu zangu kuna tofauti kwa sababu ya mambo ya kimirathi na hatuna mawasiliano. Ni zipi nasaha zako kwangu mimi na wao juu ya jambo hili?

Jibu: Haijuzu kukata kizazi kwa sababu za kidunia. Ni lazima kwenu kufanya suluhu kati yenu na mtengeneze jambo lenu. Allaah atakusaidizeni katika jambo hilo.

  • Mhusika: Imam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18349
  • Imechapishwa: 16/10/2021