Usihudhurie sherehe ya mazazi ya Mtume!


Swali: Ni ipi hukumu kwa mwenye kuhudhuria sherehe ya mazazi ya Mtume?

Jibu: Ni haramu kwake kushiriki katika sherehe za Bid´ah. Sherehe ya kusherehekea Maulidi ya Mtume ni ya Bid´ah. Hivyo haijuzu kuhudhuria, kuyasapoti, kuyakubali wala kushiriki ndani yake. Hili ni kwa sababu ni Bid´ah. Kila Bid´ah ni upotevu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: uruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13398
  • Imechapishwa: 26/04/2018