Usicheze na ndevu


Swali: Ni upi mpaka wa ndevu? Inajuzu kukata chenye kuzidi kwenye mshiko mmoja?

Jibu: Ndevu hazina mpaka. Ndevu zinatakiwa kuachwa kama zilivyoumbwa:

“Ziacheni ndevu… “

“Fugeni ndevu… “

“Zirefusheni ndevu… “

Haya yote yemesemwa na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Usicheze na ndevu. Ziache kama zilivyo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (69) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/12-07-1438i.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2017