Swali: Kunahesabika ni usengenyi kumtahadharisha mtu kwa lengo sahihi?

Jibu: Sio usengenyi, ni kumtakia mema. Ikiwa mtu huyu amekwishanasihiwa lakini hata hivyo akaendelea juu ya kwenda kwake kinyume, basi ni lazima watu watahadharishwe naye ili wasije kughurika naye.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (96) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/igahthat-12021440h.mp3
  • Imechapishwa: 27/05/2019