Swali: Nikiingia msikitini na nikakuta kuna ambaye anatoa muhadhara akitetea Taswawwuf na mifumo ya Suufiyyah – je, nitoke au nisubiri kukimiwe nje ya msikiti au niikae ndani ya msikiti mpaka kutapokimiwa kwa ajili swalah?

Jibu: Usende kwenye msikiti ambapo kuna muhadhara unaolingania katika shirki. Usende kuswali nyuma ya imamu ambaye hali yake ni kama hii. Nenda katika msikiti mwingine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Furqaan (10) http://alfawzan.af.org.sa/node/2053
  • Imechapishwa: 01/02/2017