Swali: Ni ipi hukumu kwa mfungaji mgonjwa wa mafigo kusafisha damu?  Je, ni lazima kwake kulipa siku hiyo?

Jibu: Ni lazima kwake kulipa siku hiyo kwa sababu ya ile lishe anayopata ya damu safi. Akiongezea juu ya hayo nyenzo zengine basi ni vifunguzi vyengine.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Fataawaa al-Muta´allaqah bit-Twibb wa Ahkaam-il-Maradhw, uk. 125
  • Imechapishwa: 24/04/2020