Swali: Mtu ambaye anataka kufanya matibabu ya usafishaji damu inafaa kwake kukusanya kati ya swalah mbili?

Jibu: Akihitajia kufanya hivo, hakuna neno. Kwa sababu ni mgonjwa na mgonjwa inafaa kwake kukusanya swalah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (105) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/20-03-1441-H-%20igah.mp3
  • Imechapishwa: 05/12/2020