Swali: Unajua kuwa Usaamah bin Laden kahimiza vijana ulimwenguni nakusababisha ufisadi katika ardhi. Je, inajuzu kwetu kumsifu kuwa ni katika Khawaarij? Pamoja na kuzingatia kuwa anasababisha ulipuaji katika nchi yetu na nyinginezo.
Jibu: Kila ambaye ana fikra kama hii ni katika Khawaarij. Kila ambaye ana fikra kama hii na akalingania na kusisitiza watu kwayo ni katika Khawaarij, bila kujali jina lake na cheo chake. Huu ndio msingi. Ya kwamba kila yule ambaye analingania katika fikra hii, nayo ni kufanya Khuruuj kwa mtawala wa Waislamu, kuwakufurisha Waislamu na kuhalalisha damu ya Waislamu ni katika Khawaarij.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=33jOXMz_I5U
- Imechapishwa: 11/01/2018
Swali: Unajua kuwa Usaamah bin Laden kahimiza vijana ulimwenguni nakusababisha ufisadi katika ardhi. Je, inajuzu kwetu kumsifu kuwa ni katika Khawaarij? Pamoja na kuzingatia kuwa anasababisha ulipuaji katika nchi yetu na nyinginezo.
Jibu: Kila ambaye ana fikra kama hii ni katika Khawaarij. Kila ambaye ana fikra kama hii na akalingania na kusisitiza watu kwayo ni katika Khawaarij, bila kujali jina lake na cheo chake. Huu ndio msingi. Ya kwamba kila yule ambaye analingania katika fikra hii, nayo ni kufanya Khuruuj kwa mtawala wa Waislamu, kuwakufurisha Waislamu na kuhalalisha damu ya Waislamu ni katika Khawaarij.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=33jOXMz_I5U
Imechapishwa: 11/01/2018
https://firqatunnajia.com/usaamah-bin-laadin-na-wale-wenye-fikra-kama-zake/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)