Swali: Upumzishaji wa silaha kati ya makafiri na waislamu umewekewa mpaka kwa miaka kumi peke yake?

Jibu: Hapana, haukuwekewa mpaka. Haukuwekewa mpaka na unategemea manufaa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (50) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah%20Fiqh-06-05-1437.mp3
  • Imechapishwa: 09/03/2019