Swali: Kuna mpaka gani uliyowekwa unaoruhusiwa mume kumdanganya mke wake?

Jibu: Uongo usiokuwa ndani yake kumdhulumu na ndani yake vilevile kuna kuungana.

Swali: Je, inajuzu kwa mke pia kumdanganya mume wake kwa lengo hili?

Jibu: Ikiwa katika hayo kuna manufaa ni sawa. Inajuzu kusema uongo kwa ajili ya manufaa. Inahusiana na uongo usiomdhuru yeyote.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/27-06-1438h.mp3
  • Imechapishwa: 16/07/2017