Josho la ijumaa linatosheleza kutawadha?

Swali: Uogaji wa ijumaa unatosheleza kutawadha?

Jibu: Ndio, uogaji uliyowekwa katika Shari´ah. Uogaji uliyowekwa katika Shari´ah unatosheleza wudhuu´ endapo mtu atanuia kuingiza wudhuu´ ndani yake. Midhali wudhuu´ umewekwa katika Shari´ah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (6) http://alfawzan.af.org.sa/node/14379
  • Imechapishwa: 25/11/2016