Uoagaji wa ndani ya theluthi Urusi

Swali: Manaswara katika nchi yetu wana wanaogelea kwa lengo la kufanya ´ibaadah[1]. Hivi sasa baadhi ya waislamu katika nchi yetu wanafanya jambo hili kwa lengo la kiafya. Je, inafaa kwao kufanya hivo?

Jibu: Hapana, haijuzu. Wanajifananisha na makafiri. Haijuzu.

[1] Tazama https://www.religion.dk/globalt-nyt/rituelt-isbad-popul%C3%A6rt-blandt-russisk-ortodokse

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (96) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/igahthat-12021440h.mp3
  • Imechapishwa: 24/05/2019