Unguza karatasi na mwingilie mke wako!


Swali: Kuna mwanamke amekubaliana na mwanafunzi kuoana na ndoa yao iwe kwenye karatasi tu na wala asimwingilie mpaka kipindi walichokubaliana kiishe ambacho ni takriban mwaka mmoja. Baada ya hapo ndio wataingiliana. Pamoja na kujua ya kwamba mume huyu atalazimika kumhudumia katika kipindi hichi. Je, hili linajuzu?

Jibu: Unguza hiyo karatasi. Nafikiria huu ni wasiwasi wa Ibliys na anachotaka ni mambo ya maslahi. Sharti hii haipo katika Kitabu cha Allaah. Tunamwambia mume wake “Mwingilie na ukidhi haja zako kwake hata kama itahitajia kutumia nguvu.

Swali: Lakini hili ni baada ya kupatikana mashahidi wawili, walii na mengineyo?

Jibu: Ndio. Haya tayari yametimia. Lakini yeye anaulizia sharti hii iliyomo kwenye karatasi, ndio nikasema aunguze hiyo karatasi.

  • Mhusika: Shaykh ´Ubayd bin ´Abdillaah al-Jaabiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://ar.miraath.net/fatwah/2444
  • Imechapishwa: 20/09/2020