Unayotakiwa kufanya ili kujiepusha na fitina


Swali: Ni lipi jukumu la muislamu aliye na wivu na dini yake kutokana na fitina ilio pambizoni mwake?

Jibu: 1- Amtake Allaah kinga kutokamana na fitina.

2- Asiingie ndani yake.

3- Amuombe Mola wake afya.

4- Ajiweke nayo mbali. Kwani katika usalama ni pamoja na muislamu kutoikaribia fitina.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (03) http://audio2.islamweb.net/lecturs/aalrrajhee/430/430.mp3
  • Imechapishwa: 08/04/2018