Swali: Nimeoa punde na nimembusu mke wangu mchana wa Ramadhaan na nikatokwa na madhiy.

Jibu: Unatakiwa kulipa. Unakutosha wakati wa usiku.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdullaah bin ´Abdir-Rahmaan al-Ghudayyaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Min Swifaat-il-Mu´miniyn https://godian.af.org.sa/sites/default/files/2017-09/s_0.mp3
  • Imechapishwa: 24/09/2022